• HABARI MPYA

    Thursday, March 19, 2015

    YANGA SC NA KAGERA SUGAR KATIKA PICHA JANA TAIFA

    Mshambuliaji wa Yanga SC, Mrisho Ngassa kulia akimtoka beki wa Kagera Sugar, Job Ibrahim katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-1.
    Mshambuliaji wa Yanga SC, Kpah Sherman akimtoka beki wa Kagera Sugar
    Mshambuliaji wa Yanga SC, Hussein Javu akimtoka beki wa Kagera Sugar, Benjamin Asukile

    Kiungo wa Kagera Sugar, George Kavilla kulia akimgeuza winga wa Yanga SC, Simon Msuva jana

    Kiungo wa Yanga SC, Hassan Dilunga katikati ya wachezaji wa Kagera Sugar jana

    Mshambuliaji wa Yanga SC, Amisi Tambwe aakimfunga 'behewa' beki wa Kagera Sugar, Eric Kyaruzi
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC NA KAGERA SUGAR KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top