• HABARI MPYA

    Sunday, May 17, 2015

    RONALDO APIGA HAT TRICK REAL MADRID IKISHINDA 4-1 LA LIGA


    Cristiano Ronaldo celebrates his hat-trick for Real Madrid but it was not enough to take the title race to the final weekend 
    Mwanasoka Bora wa Dunia, Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia hat-trick Real Madrid katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Espanyol leo Uwanja wa Power8 katika mchezo wa La Liga jioni ya leo. Bao lingine la Real lilifungwa na Marcelo, wakati la kufutia machozi la wenyeji lilifungwa na Stuani.  PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RONALDO APIGA HAT TRICK REAL MADRID IKISHINDA 4-1 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top