Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Simba SC, Hajji Sunday Manara 'Zungu' kulia akiwa na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Baraka Kizuguto leo mjini Rustenburg, Afrika Kusini. Marana amesema kwamba amekuja Afrika Kusini kuangalia vipaji kwenye michuano ya Kombe la COSAFA iliyoanza leo mjini hapa.
0 comments:
Post a Comment