![]() |
Kocha wa Yanga SC, Hans van der Pluijm kulia akiwa na nyota wake, Mrisho Ngassa kushoto Uwanja wa Olimpiki mjini Sousse leo |
![]() |
Mchua misuli wa Yanga SC, akimshughulikia mshambuliaji Mliberia, Kpah Sherman kulia |
![]() |
Wachezaji wa Yanga SC wakitoka hoteli El Mouradi Palm Marina kupanda basi lao kuelekea Uwanja wa Olimpiki |
![]() |
Kulia Andrey Coutinho kulia na Juma Abdul kushoto |
![]() |
Wachezaji wa Yanga wakinyoosha viungo leo Uwanja wa Olimpiki |
0 comments:
Post a Comment