Mshambuliaji mpya wa Yanga SC, Donald Ngoma kulia akipasha wakati wa mazoezi ya asubuhi ya timu huo Uwanja wa Karume, Dar es Salaam |
Beki mpya wa Yanga SC, Joseph Tetteh Zutah akipasha Karume |
Zutah aliye juu akionyesha uwezo wake kwa wenzake |
Kpah Sherman akimiliki mpira katikati ya wenzake |
Oscar Joshua (kushoto) akitafuta maarifa ya kumtoka Donald Ngoma |
0 comments:
Post a Comment