• HABARI MPYA

    Thursday, October 15, 2015

    BURUDANI ZA 'NYONGEZA' PAMBANO TAIFA STARS NA MALAWI BLANTYRE JUMAPILI

    Wachezaji wa Tanzania na Malawi wakiutafuta mpira katika mchezo wa marudiano hatua ya mwisho ya mchujo wa kuwania kupangwa kwenye makundi ya kuwania tiketi ya Fainali za Kombe la Dunia mwaka 2018 nchini Urusi uliofanyika mjini Blantyre Jumapili. Malawi ilishinda 1-0, lakini Tanzania ilifuzu kwa ushindi wa jumla wa 2-1 baada ya awali kushinda 2-0 Dar es Salaam. 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BURUDANI ZA 'NYONGEZA' PAMBANO TAIFA STARS NA MALAWI BLANTYRE JUMAPILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top