• HABARI MPYA

    Thursday, November 05, 2015

    HASSAN KESSY 'ANAVYOINYATIA' NAFASI YA KAPOMBE TAIFA STARS

    Beki wa kulia aliyeitwa hivi karibuni timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Hassan Ramadhani Kessy akijifua na kikosi cha timu hiyo kambini Johannersburg, Afrika Kusini kujiandaa na mchezo dhidi ya Algeria Novemba 14, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na marudiano Novemba 17 mjini Algiers. Kessy anayechezea Simba SC na Juma Abdul wa Yanga SC, wote wameitwa katika nafasi ambayo Shomary Kapombe wa Azam FC ndiye chaguo la kwanza. 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HASSAN KESSY 'ANAVYOINYATIA' NAFASI YA KAPOMBE TAIFA STARS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top