AZAM FC ILIVYOVUNA POINTI TATU UWANJA WA MAJIMAJI JANA
Mshambuliaji wa Azam FC, Didier Kavumbangu (kushoto) akiwania mpira dhidi ya mchezaji wa Majimaji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Majimaji mjini Songea. Azam FC ilishinda 2-1
Wachezaji wa Azam FC baada ya dua kabla ya mchezo wa jana
Sekeseke kwenye lango Majimaji, wachezaji wakisubiri mpira wa kona
Newcastle submit bid for Sesko - Sunday's gossip
-
Newcastle United have opened the bidding for RB Leipzig striker Benjamin
Sesko but Manchester United remain in the race for the Slovenian, while
Liverpool ...
0 comments:
Post a Comment