Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando (katikati) akizungumza na Waandishi wa Habari wakati wa kuendesha droo ya kwanza ya promosheni ya Airtel Mkawnjika, ambayo washindi 16 kutoka katika mikoa mbalimbali walipatikana. Wengine ni Msimamizi wa bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Abdallah Hemed (kushoto) na Meneja Masoko wa Airtel, Anneth Muga (kulia)
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
21 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment