SUAREZ APIGA HAT TRICK BARCELONA YAUA 3-0 NA KUTINGA FAINALI KOMBE LA DUNIA
Mshambuliaji wa Barcelona, Luis Suarez akishangilia baada ya kuifungia timu yake mabao yote matatu katika ushindi wa 3-0 mjini Yokohama, Japan kwenye mchezo wa Nusu Fainali Klabu Bingwa ya Dunia mchana wa leo dhidi ya Guangzhou Evergrande. Suarez alifunga dakika ya 39 akiuwahi mpira uliookolewa baada ya shuti la Ivan Rakitic, dakika ya 50 kwa shuti na dakika ya 67 kwa penalti na sasa Barca itakutana na River Plate ya Argentina katika fainali keshokutwa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
ADC says House member Leke Abejide not suspended
-
From Emmanuel Adeyemi, Lokoja The African Democratic Congress, Kogi State
chapter, has said that the Member of the House of Representatives for Yagba
Fed...
0 comments:
Post a Comment