MWANA SIMBA PROFESA MAJI MAREFU AONYESHA 'JEURI YA FWEZA'
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini, Stephen Ngonyani 'Profesa Maji Marefu' ambaye pia ni mpenzi na mwanachama wa Simba SC, akiwa mbele ya gari jipya la kifahari wiki hii, baada ya kukamilisha usajili wake akiweka jina lake kwenye kibao cha namba za gari.
0 comments:
Post a Comment