KAMA UNALIPWA VIZURI KATIKA TIMU, UNAFURAHIA TU HATA 'KUSUGUA' BENCHI
Wachezaji wa Azam FC, Mrundi Didier Kavumbangu (kushoto), Mkenya Allan Wanga (katikati) na Ramadhani Singano Messi (kulia) wakifurahia benchi wakati timu yao ikimenyana na Simba SC Jumamosi katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara uliomalizika kwa sare ya 2-2
0 comments:
Post a Comment