![]() |
| Kiungo wa Yanga SC, Deus Kaseke akimtoka beki wa African Sports jana |
![]() |
| Mshambuliaji wa Yanga SC, Simon Msuva akipambana na wachezaji wa African Sports |
![]() |
| Beki wa African Sports, Rahim Juma akiwania mpira dhidi ya mshambuliaji wa Yanga SC, Donald Ngoma |
![]() |
| Donald Ngoma wa Yanga SC akimiliki mpira mbele ya Rahim Juma wa African Sports |
![]() |
| Thabani Kamusoko wa Yanga SC akimiliki mpira katikati ya wachezaji wa African Sports |








.png)
0 comments:
Post a Comment