![]() |
| Mshambuliaji wa Yanga SC, Mrundi Amissi Tambwe akitoka kwenye gari lake aina ya Toyota Land Cruiser kuelekea mazoezini leo asubuhi. |
![]() |
| Hili ndilo gari la Tambwe, ambalo amesema limemgharimu dola za Kimarekani 23,500 (zaidi ya Sh. Milioni 47 za Tanzania) |
![]() |
| Amissi Tambwe hapa anaelekea kwenye gari lake baada ya mazoezi tayari kurejea anapoishi |
![]() |
| Tambwe anaonekana anafurahia maisha ndani ya klabu ya Yanga SC, aliyojiunga nayo misimu miwili iliyopita kutoka kwa mahasimu, Simba SC |






.png)
0 comments:
Post a Comment