UZINDUZI WA HOME COMING NA AZAM TV JANA MLIMANI CITY
Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo, Nape Nnauye akihojiwa na watangazaji wa Azam TV, wakati wa uzinduzi wa filamu ya Home Coming ukumbi wa Mlimani City jana mjini Dar es Salaam. Filamu hiyo itakuwa ikionyeshwa kwenye chaneli ya Sinema Zetu ya Azam TV
0 comments:
Post a Comment