JKT RUVU NA COASTAL UNION 'ZILIVYOTOSHANA NGUVU' JANA KARUME
Mshambuliaji wa Coastal Union ya Tanga, Mnigeria Abasarim Chidiebele akimtoka kiungo wa JKT Ruvu, Hamisi Shengo katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Karume, Dar es Salaam. Timu hizo zilkitoka 2-2. (Picha kwa hisani ya Francis Dande)
0 comments:
Post a Comment