CHAMBUA, STEVEN MUSSA 'MAMIDO' HATARI WALIOTIKISA TUKUYU STARS
Viungo watanashati wa Tukuyu Stars ya Mbeya, Sekilojo Chambua na Steven Mussa (sasa marehemu) wakipata chakula nyumbani kwa mfadhili wao, baada ya mechi dhidi ya Simba SC 1991, ambao Tukuyu walishinda 1-0. Wawili hao wote walihamia Yanga SC baadaye.
0 comments:
Post a Comment