![]() |
Stewart aliwapa maelekezo tofauti wachezaji wake kuelekea mchezo wa Jumamosi |
![]() |
Kocha wa makipa, Iddi Abubakr akitoa maelekezo kwa vijana wake |
![]() |
Anayepiga mpira ni kiungo Salum Abubakar 'Sure Boy' ambaye yuko vizuri kuelekea mchezo huo |
![]() |
Kipa Mwadini Ally akidaka mpira mazoeini leo Chamazi |
![]() |
Anayepiga mpira ni Nahodha John Bocco 'Adebayor' ambaye yuko fiti kabisa kuelekea mchezo wa Jumamosi |
0 comments:
Post a Comment