![]() |
| Kiungo Salum Abubakar 'Sure Boy' akimtoka mchezaji wa Prisons jana Chamazi |
![]() |
| Kiungo wa Azam FC, Ramadhani Singano 'Messi' akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Prisons |
![]() |
| Mshambuliaji wa Azam FC, Khamis Mcha 'Vialli' akiuvutia kasi mpira ili watoka wachezaji wa Prisons |
![]() |
| Beki wa Azam FC, Waziri Salum akiugulia maumivu baada ya kuchezewa rafu na mchezaji wa Prisons |
![]() |
| Kocha Muingereza Stewart Hall akimpongeza beki wake, Shomarybkapombe baada ya kufunga mabao mawili jana katika ushindi huo |








.png)
0 comments:
Post a Comment