Mshambuliaji wa Liverpool, Divock Origi (kulia) akiwa juu kuwania mpira dhidi ya beki wa Everton, Ramiro Funes Mori aliyetolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 50 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumatano Uwanja wa Anfield. Liverpool imeshinda 4-0, mabao yake yakifungwa na Origi dakika ya 43, M. Sakho dakika ya 45 na ushei, Daniel Sturridge dakika ya 61 na Philippe Coutinho dakika ya 76 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
'Don't give up' the Swans message as Sheehan gets big chance
-
Alan Sheehan explains why he is determined to progress with Swansea City as
he prepares for his first full season as a head coach.
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment