Kiungo Mzambia wa Yanga, Obrey Chirwa akiwatoka wachezaji wa Medeama FC ya Ghana katika mchezo wa Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam timu hizo zikitoka sare ya 1-1
Mshambuliaji Mzimbabwe wa Yanga, Donald Ngoma akimuacha nyuma beki wa Medeama baada ya kumlanga chenga nzuri
Mshambuliaji Mrundi wa Yanga, Amissi Tambwe (kulia) akigombea mpira na beki wa Medeama
Donald Ngoma akimtoka beki wa Medeama jana Uwanja wa Taifa
Kiungo wa Yanga, Simon Msuva akitafuta maarifa ya kumpiga beki wa Medeama
Kiungo wa Yanga, Mbuyu Twite akipambana na kiungo wa Medeama
Makocha wa Yanga, kutoka kushoto Mholamnzi Hans van der Pluijm, Juma Mwabusi na Menejea,mHafidh Saleh
Wachezahu wa Yanga na Medeama wakitoka kwenye vyumba kuingia uwanjani
Kikosi cha Medeama jana Uwanja wa Taofa
Kiko cha Yanga kilichotoa sare ya 1-1 na Medeama jana
0 comments:
Post a Comment