Mshambuliaji wa ASEC Mimosa ya Ivory Coast, Abou Dominique (kushoto) akimiliki mpira mbele ya beki wa Yanga SC, John Jacob Mwansasu katika mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Afrika mwaka 1998 Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru), Dar es Salaam. ASEC ilishinda 3-0 katika msimu ambao iliibuka bingwa wa michuano hiyo
Davies back to lead Wales for crucial qualifiers
-
Tottenham defender Ben Davies returns from injury to lead Wales in their
final World Cup qualifying games against Liechtenstein and North Macedonia,
but Aa...
39 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment