SERENGETI BOYS, MADAGASCAR ZATOA SARE YA BILA MABAO ANTANANARIVO
Vikosi vya timu za vijana chini ya umri wa miaka 17 vya Tanzania (juu) na Madagascar (chini) vilivyomenyana katika mchezo wa kirafiki leo mjini Antananarivo na kutoka sare ya bila kufungana
0 comments:
Post a Comment