Winga wa Medeama FC ya Ghana, Enock Atta Agyei akisaini Mkataba wa miaka miwili kujiunga na Azam FC juzi mjini Sekondi-Takoradi, Ghana baada ya mchezo wa Kundi A Kombe la Shirikisho dhidi ya Yanga ya Tanzania akiiwezesha timu yake kushinda 3-1. Wanaomshuhudia ni Mtendaji Mkuu wa Azam, Saad Kawemba (kushoto) na kiongozi wa Medeama (kulii)
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
17 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment