Danny Welbeck akifumua shuti kuifungia Arsenal bao la tatu dakika ya mwisho katika ushindi wa 3-1 dhidi ya West Ham United Uwanja wa Emirates, London. Mabao mengine ya Gunners yamefungwa na Nacho Monreal dakika ya 30 na Issa Diop aliyejifunga dakika ya 70, wakati la WHU limefungwa na Marco Arnautovic dakika ya 25, huo ukiwa ushindi wa kwanza katika mechi ya tatu kwa kocha mpya, Mspaniola Unai Emery aliyemrithi kocha wa muda mrefu wa klabu, Mfaransa Arsene Wenger PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Liverpool 1-1 Chelsea: What Slot said
-
Liverpool have dropped nine points from winning positions in Premier League
home games this season, their most at Anfield in a single campaign since
2015-1...
5 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment