Mshambuliaji Msenegali, Sadio Mane akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la pili dakika ya 90 na ushei katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Crystal Palace kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumatatu Uwanja wa Selhurst Park mjini London, kufuatia James Milner kufunga la kwanza kwa penalti dakika ya 45 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
16 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment