Mshambuliaji anayecheza kwa mkopo Valencia kutoka Chelsea, Michy Batshuayi akiwa na mchezaji mwenzake wa zamani wa The Blues, Diego Costa ambaye sasa anachezea Atletico Madrid baadfa ya wawili hao kukutana kwenye baina ya timu zao za sasa iliyomalizika kwa sare ya 1-1 Uwanja wa Mestalla. Atletico ilitangulia kwa bao la Angel Martin Correa dakika ya 26, kabla ya Rodrigo Moreno Machado kuwasawazishia wenyeji dakika ya 56 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Three things we learned from Chelsea draw as tactical tweak unlocks new
blueprint
-
A juggling act on the wing produced a far better team performance against
Liverpool
5 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment