Eden Hazard akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la kwanza kwa penalti dakika ya 76 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Newcastle United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa St. James' Park leo. Bao lingine la Chelsea, DeAndre Yedlin alijifunga dakika ya 87 wakati la Newcastle limefungwa na Joselu dakika ya 83 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
20 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment