Karim Benzema akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 52 kwa penalti na 80 akimalizia pasi ya Gareth Bale katika ushindi wa 4-1 wa Real Madrid jana dhidi ya Girona kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Manispaa ya Montilivi mjini Girona. Mabao mengine ya Real yamefungwa na Sergio Ramos kwa penalti dakika ya 39 na Bale dakika ya 59, wakati la Girona limefungwa na Borja GarcÃa dakika ya 16 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
India beat South Africa for historic first World Cup win
-
Shafali Verma scores 87 and Deepti Sharma takes five wickets as India make
history, beating South Africa by 52 runs for their first World Cup title in
Navi...
9 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment