Kiungo N'Golo Kante akipongezwa na wachezaji wenzake, Ross Barkley na Eden Hazard baada ya kuifungia bao pekee Chelsea dakika ya 51 ikiilaza 1-0 Crystal Palace Uwanja wa Selhurst Park katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo. Chelsea inafikisha pointi 43 kwa ushindi huo kwenye mechi ya 20, ingawa itaendelea kukaa nafasi ya nne nyuma ya Tottenham Hotspur yenye pointi 45 za mechi 20 pia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Who do fans think is the key player in each Premier League team?
-
From the "soul of the team" to an "absolute warrior", here are the Premier
League's 20 key players, as chosen by our fan writers.
41 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment