Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Juventus dakika ya pili akimalizia pasi ya Paulo Dybala na dakika ya 65 kwa penalti katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Sampdoria kwenye mchezo wa Serie A Uwanja wa Allianz mjini Torino. Bao la Sampdoria limefungwa na Fabio Quagliarella kwa penalti dakika ya 33 na kwa ushindi huo, Juve inafikisha pointi 53 baada ya kucheza mechi 19 ikiendelea kuongoza Serie A kwa pointi tisa zaidi ya Napoli wanaofuatia katika nafasi ya pili PICHA ZAIDI GONGA HAPA  
Who do fans think is the key player in each Premier League team?
                      -
                    
From the "soul of the team" to an "absolute warrior", here are the Premier 
League's 20 key players, as chosen by our fan writers.
39 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment