Edin Hazard akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la pili dakika ya 33 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Brighton & Hove Albion leo Uwanja wa Amex kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Hazard pia alitoa pasi ya bao la kwanza la The Blues lililofungwa na Pedro dakika ya 17, wakati la Brighton limefugwa na Solly March dakika ya 66 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
Jake Paul's fight with Gervonta 'Tank' Davis cancelled amid domestic 
violence lawsuit
                      -
                    
Paul's 'Most Valuable Promotions' confirmed on Monday night that they are 
instead planning for the YouTuber-turned-boxer to headline another event on 
Netfl...
25 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment