Xherdan Shaqiri akishangilia kibosi baada ya kuifungia mabao mawili Liverpool dakika za 73 na 80 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Manchester United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield. Bao lingine la Liverpool inayofikisha pointi 45 na kupanda kileleni ikiizidi kwa pointi moja Manchester City, limefungwa na Sadio Mane dakika ya 24, wakati la Man United limefungwa na Jesse Lingard dakika ya 33 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
Who do fans think is the key player in each Premier League team?
                      -
                    
From the "soul of the team" to an "absolute warrior", here are the Premier 
League's 20 key players, as chosen by our fan writers.
38 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment