Wachezaji wa Real Madrid wakipongezana kwa ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Al Ain kwenye Fainali ya Klabu Bingwa ya Dunia ya FIFA Jumamosi Uwanja wa Sheikh Zayed Sports City mjini Abu Dhabi na kutwaa taji hilo kwa mara ya tatu mfululizo. Mabao ya Real Madrid yamefungwa na Luka Modric dakika ya 14, Marcos Llorente dakika ya 60, Sergio Ramos dakika ya 78 na Yahia Nader aliyejifunga dakika ya 90 na ushei wakati la Al Ain limefungwa na Tsukasa Shiotani dakika ya 86 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Travis Kelce goads Bills fans as he walks into locker room hurt from a
massive hit by rival
-
The Kansas City Chiefs tight end left the field a few seconds before his
teammates and the halftime interval on Sunday, having taken a brutal hit to
the ch...
18 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment