Odion Ighalo akishangilia baada ya kuifungia Manchester United mabao mawili dakika za 41 na 70 kufuatia Luke Shaw kufunga la kwanza dakika ya 33 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Derby County kwenye mchezo wa Raundi ya Tano Kombe la FA England usiku wa jana Uwanja wa Pride Park hivyo kutinga Robo Fainali PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
23 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment