WACHEZAJI WA SIMBA SC WAKIJIFUA KWENYE UWANJA WAO WA MO SIMBA SIMBA ARENA
Wachezaji wa Simba SC wakifanya mazoezi mepesi leo asubuhi kwenye uwanja wao wa Mo Simba Arena uliopo Bunju, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
Wachezaji wakifanya mazoezi mepesi leo asubuhi Uwanja wa Mo Simba Arena
Wachezaji wakifanya mazoezi mepesi leo asubuhi Jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment