Mshambuliaji Msenegal, Sadio Mane akiruka kushangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la ushindi kwa pasi nzuri ya beki Mholanzi, Virgil van Dijk dakika ya 33 ikiwalaza 2-1 AFC Bournemouth kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield. Bournemouth ilitangulia kwa bao la Callum Wilson akimalizia pasi ya Jefferson Lerma dakika ya tisa kabla ya Mohamed Salah kuisawazishia Liverpool dakika ya 25 kwa pas ya Mane PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Miyu Yamashita holds off Charley Hull to win first major at Women's Open
-
Home favourite came agonisingly close
21 minutes ago
0 comments:
Post a Comment