RODRIGO AISAWAZISHIA LEEDS UNITED YATOA SARE 1-1 NA MAN CITY
Rodrigo akikimb0a kushangilia baada ya kuifungia Leeds United bao la kusawazisha dakika ya 59 katika sare ya 1-1 na Manchester City iliyotangulia kwa bao la Raheem Sterling dakika ya 17 Uwanja wa Elland Road PICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment