Mwanzo > HABARI ZA NYUMBANI > AZAM FC YAACHANA NA BEKI WAKE YVAN MBALLA AZAM HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI AZAM FC YAACHANA NA BEKI WAKE YVAN MBALLA KLABU ya Azam FC imefikia makubaliano ya pande mbili ya kuachana na aliyekuwa beki wake wa kati, Yvan Mballa baada ya msimu mmoja tangu ajiunge nao kutoka Forest Rangers ya Zambia, kwa mkataba wa mwaka mmoja. Thursday, July 07, 2022 AZAM HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI
0 comments:
Post a Comment