Mwanzo > HABARI ZA NYUMBANI > AZAM FC YACHAPWA 1-0 NA WADI DEGLA AZAM HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI AZAM FC YACHAPWA 1-0 NA WADI DEGLA TIMU ya Azam FC imechapwa 1-0 na wenyeji, Wadi Degla katika mchezo wa kirafiki leo kwenye kambi yake ya kujiandaa na msimu ujao huko Gunna nchini Misri. Wednesday, July 27, 2022 AZAM HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI
0 comments:
Post a Comment