KLABU ya Yanga imesaini mkataba mpya wa udhamini na kampuni ya Sport Pesa Tanzania wenye thamani ya Sh. Bilioni 12.335 kwa miaka mitatu.
Katika mkataba huo mpya, Yanga itapata wastani wa Sh. Bilioni 4 kwa mwaka, ambayo ni ongezeko la Sh. Bilioni 2 kutoka mkataba uliomalizika ambao klabu hiyo ilikuwa inapewa Sh. Bilioni 1 kwa mwaka.
0 comments:
Post a Comment