KLABU ya Simba imemtambulisha mchezaji mpya wa tatu kuelekea msimu ujao, ambaye ni kiungo Mnigeria Victor Akpan kutoka Coastal Union ya Tanga. Akpan anakuwa mgeni wa pili baada ya washambuliaji, Moses Phiri kutoka Zanaco ya kwao na mzawa, Habib Kyombo kutoka Mbeya Kwanza iliyoshuka Daraja.
0 comments:
Post a Comment