TANZANIA YACHAPWA 3-2 MALAWI SOKA LA UFUKWENI AFRIKA
TIMU ya taifa ya Tanzania yansoka la Ufukweni imechapwa mabao 3-2 na wenyeji Malawi leo mchezo wa kwanza wa kuwania tiketi ya Fainali za Afrika zitakazofanyika baadaye mwaka huu nchini Msumbiji. Mechi ya marudiano itachezwa Dar es Salaam kati ya Agosti 5 na 7 na mshindi wa jumla atasonga mbele.
0 comments:
Post a Comment