Mwanzo > HABARI ZA NYUMBANI > AZAM FC YAACHANA NA MSHAMBULIAJI WAKE PAUL PETER AZAM HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI AZAM FC YAACHANA NA MSHAMBULIAJI WAKE PAUL PETER KLABU ya Azam FC imeachana na mshambuliaji wake, Paul Peter baada ya kuitumikia klabu hiyo kwa miaka mitano. Peter alianzia kwenye kituo cha kukuza vipaji cha klabu hiyo, Azam Academy, kabla ya kupandishwa timu kubwa. Monday, July 18, 2022 AZAM HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI
0 comments:
Post a Comment