AZAM FC TAYARI WAPO TANGA KWA MPANGO WA KUBEBA NGAO
KIKOSI cha Azam FC kimewasili Jijini Tanga jioni ya leo kwa ajili ya michuano ya timu nne ya Ngao ya Jami inayotarajiwa kuanza keshokutwa Uwanja wa Mkwakwani wao wakifungua dimba na mabingwa watetezi, Yanga SC. VIDEO: AZAM FC WALIVYOWASILI TANGA LEO
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment