• HABARI MPYA

    Wednesday, December 11, 2013

    YANGA SC WANAVYOJIANDAA NA NANI MTANI JEMBE DHIDI YA SIMBA

    Kipa wa Yanga SC, Juma Kaseja akiwa amedaka mpira katika mazoezi ya timu yake, Uwanja wa Bora, Kijitonyama asubuhi ya leo. Yanga inajianda na mchezo maalum dhidi ya wapinzani wa jadi, Simba SC wa Nani Mtani Jembe, Desemba 21, mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
    Kocha wa Yanga SC, Mholanzi Ernie Brandts katikati akizungumza na wachezaji wake, Mbuyu Twite kulia na Didier Kavumbangu kushoto
    Shaaban Kondo kulia akimiliki mpia 

    Oscar Joshua mbele
    Nadir Haroub 'Cannavaro' kulia na Nizar Khalfan kushoto

    Makipa wakinyoosha viungo
    Wachezaji wakichukua maji kupoza koo zao baada ya mazoezi

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC WANAVYOJIANDAA NA NANI MTANI JEMBE DHIDI YA SIMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top