• HABARI MPYA

    Friday, March 20, 2015

    BINGWA DARAJA LA PILI KUPATIKANA JUMATATU

    Na Baraka Kizuguto, DAR ES SALAAM
    FAINALI ya kumsaka Bingwa wa Ligi Daraja la Pili (SDL) inatarajiwa kufanyika siku ya jumapili katika uwanja wa Karume jijini Dar es salaam siku ya jumatatu Machi 23 mwaka huu kuanzia saa 10 kamili jioni.
    Mchezo huo wa fainali utazikutanisha timu za Mbao FC ya Mwanza dhidi ya Kiluvya United FC ya Pwani, ambapo mshindi wa mchezo ndio atakua Bingwa mpya wa Ligi Daraja la Pili.
    Jumla ya timu nne tayari zimeshapanda Ligi Daraja la Kwanza (FDL) kutoka Ligi Daraja la Pili (SDL) ambazo ni Kiluvya United ya Pwani, Mji Njombe ya Njombe, Mbao ya Mwanza na Mji Mkuu (CDA) ya Dodoma.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BINGWA DARAJA LA PILI KUPATIKANA JUMATATU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top