• HABARI MPYA

    Tuesday, August 18, 2015

    BENTEKE AING'ARISHA LIVERPOOL ENGLAND, YAILAZA 1-0 BOURNEMOUTH

    Mshambuliaji mpya wa Liverpool, Christian Benteke aliyesajiliwa kwa Pauni Milioni 32.5 akipongezwa na Dejan Lovren baada ya kuifungia timu hiyo bao pekee katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Bournemuth katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku huu Uwanja wa Anfield PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BENTEKE AING'ARISHA LIVERPOOL ENGLAND, YAILAZA 1-0 BOURNEMOUTH Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top