Kipa mpya wa Mbeya City, Juma Kaseja akifurahia na wenzake ushindi wa 3-0 leo dhidi ya JKT Ruvu ushindi wa Sokoine mjini Mbeya, Kaseja alianza vibaya baada ya Mbeya City kufungwa 1-0 na Kagera Sugar katika mchezo wa kwanza Jumamosi, lakini leo hakuruhusu nyavu zake kuguswa.
0 comments:
Post a Comment