Mshambuliaji Divock Origi akishangilia baada ya kuifungia Liverpool hat-trick katika ushindi wa 6-1 Southampton kwenye mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Ligi jana Uwanja wa St Mary's. Mabao mengine ya Liverpool yalifungwa na Daniel Sturridge mawili na Jordon Ibe moja, wakati la Southampton lilifungwa na Sadio Mane. Liverpool sasa itamenyana na Stoke City katika Nusu Fainali, wakati Everton itamenyana na Manchester City PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Thursday, December 03, 2015
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



.png)
0 comments:
Post a Comment